• 1. Maana ya Injili halisi ya Kuzaliwa Upya tena (Yohana 3:1-6)
    Jan 13 2023

    Katika ulimwengu huu wapo wengi wenye kutaka kuzaliwa upya kwa njia ya kumwamini Yesu tu. Hata hivyo ningependa kukwambia awali kwamba kuzaliwa upya si takwa letu, au kwa maneno mengine si jambo ambalo litokanalo na matendo yetu pekee.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 31 mins
  • 2. Ukristo Bandia na Uzushi Ndani ya Ukristo (Isaya 28:13-14)
    Jan 13 2023

    Wapo waandishi bandia wa makala nyakati hizi hasa katika nchi zilizoendelea. Hujifanya kuwa waandishi wa makala huku wakiwa na nia ya kujipatia vipato toka kwa walengwa wa makala hizo, kwa kuwatishia kutoboa siri zao. Neno bandia maana yake ni kitu au jambo lenye kuonekana kuwa ni halisi hali si kweli. Kwa maneno mengine, lina maana kwa kitu au jambo ambalo ukweli wake ni tofauti na mwonekano wa nje.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 27 mins
  • 3. Tohara ya Kweli ya Kiroho (Kutoka 12:43-49)
    Jan 13 2023

    Maneno ya Mungu katika Agano la Kale na Jipya ni muhimu na yenye thamani kwetu sisi tunaomwamini Mungu. Hatuwezi kupuuzia hata mstari mmoja wa maneno kwakuwa maneno ya Mungu ni maneno ya uzima.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 38 mins
  • 4. Ni Namna Ipi Ya Kufanya Toba Ya Kweli Na Sahihi Kwa Dhambi (1 Yohana 1:9)
    Jan 13 2023

    1 Yohana 1:9 ipo kwa wenye haki tu. Ikiwa mwenye dhambi hakuwa amekombolewa na kujaribu kupatanishwa na dhambi za kila siku kulingana na maneno yaliyo katika kifungu hicho kwa kutubu makosa yake, dhambi zake hazitofutika. Je, unaelewa ninachojaribu kuelezea? Kifungu hicho katika 1 Yohana 1:9 hakiwi kigezo kwa wenye dhambi ambao hawajazaliwa upya mara ya pili.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    18 mins
  • 5. Upotoshaji Uliopo Kwenye Kanuni ya Kujulikana na Kuchaguliwa Tangu Asili (Warumi 8:28-30)
    Jan 13 2023

    Kanuni ya kitheolojia kuhusu kuchaguliwa toka asili na kuteuliwa, ambazo ni miongoni mwa misingi ya theolojia zinazounda misingi ya Kikristo, zimewapelekea wengi wenye kutaka kumwamini Yesu kushindwa kuelewa Neno la Mungu. Kanuni hizi potofu zimesababisha mkanganyiko mkubwa.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 30 mins
  • 6. Ukuhani Uliobadilika (Waebrania 7:1-28)
    Jan 13 2023

    Katika Agano la Kale, palikuwepo na kuhani mkuu aliyeitwa Melkzedeki. Wakati wa Abrahamu, Kedorlaoma na wafalme walishirikiana naye na kutaka vitu vyote vya Sodoma na Gomora. Abrahamu akawapa silaha watumishi wake waliofunzwa, wale waliozaliwa katika nyumba yake na kuwaongoza katika vita dhidi ya Kedorlaoma na washirika wake.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 34 mins
  • 7. Ubatizo wa Yesu ni Mojawapo ya Hatua ya Ukombozi Isiyopaswa Kuwekwa Kando (Mathayo 3:13-17)
    Jan 13 2023

    Watu wengi ulimwenguni hawafahamu ni kwanini Yesu alikuja katika ulimwengu huu na kubatizwa na Yohana Mbatizaji. Hivyo hebu tuzungumzie juu ya sababu za ubatizo wa Yesu na juu ya Yohana Mbatizaji aliyembatiza Yesu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 3 mins
  • 8. Hebu na Tutende Mapenzi ya Baba Kwa Imani (Mathayo 7:21-23)
    Jan 13 2023

    Yesu Kristo alisema “Si kila mtu aniambiaye Bwana, Bwana atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; Bali yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” Maneno haya yameleta woga katika mioyo ya wakristo wengi, hata kuwafanya wahangaike kwa bidii kutenda mapenzi ya Mungu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    31 mins