Irudie Injili ya Maji na Roho

By: The New Life Mission
  • Summary

  • Nahakika uhasili ndiyo unao amua thamani ya msingi katika vitabu ambavyo si vya hadithi za kufikirika. Hivyo basi vitabu vyetu vyote ni vya asili. Ni vitabu vya kwanza katika kipindi chetu kuweza kuweka bayana juu ya ubatizo wa Yesu kwa Yohana Mbatizaji. Hapo awali hapakuwepo na sikukuu ya Krismasi takriban karne mbili zilizo pita wakati wa Kanisa la mwanzo. Wakristo wa Kanisa la mwanzo pamoja na Mitume wa Yesu waliweza kuadhimisha siku ya Januari 6 kuwa ni siku ya Kubatizwa kwa Yesu katika mto Yordani na Yohana Mbatizaji. Kwanini wali weka msisitizo mkubwa juu ya ubatizo wa Yesu katika imani zao? Vitabu vyetu vinatoa jibu sahihi kwa swali hili. Na jibu lake ndiyo ufunguo halisi katika Ukristo wa Utume wa Hasili. Wazo kuu la vichwa vya habari ni kuingia kwa undani katika siri ya Ubatizo wa Yesu na injili ya maji na Roho. (Yohana 3:5). Si swala la upande mmoja katika Ukristo bali ni kiini kinacho wahusu Wakristo wote. Vichwa vyetu vya habari ni asilimia mia moja (100%) kibiblia na kiuhakika, hivyo kuhamasisha Wakristo wa kawaida kuelekea katika mwamko wa injili ya maji na Roho. Ujumbe wa kitabu hiki utakuwa ni chombo cha masahihisha kwa wale wote wanao tafuta ukweli wa Biblia. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35
    Hati nakili © 2009 na Hephzibah Publishing House.
    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2
Episodes
  • 1. Maana ya Injili halisi ya Kuzaliwa Upya tena (Yohana 3:1-6)
    Jan 13 2023

    Katika ulimwengu huu wapo wengi wenye kutaka kuzaliwa upya kwa njia ya kumwamini Yesu tu. Hata hivyo ningependa kukwambia awali kwamba kuzaliwa upya si takwa letu, au kwa maneno mengine si jambo ambalo litokanalo na matendo yetu pekee.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 31 mins
  • 2. Ukristo Bandia na Uzushi Ndani ya Ukristo (Isaya 28:13-14)
    Jan 13 2023

    Wapo waandishi bandia wa makala nyakati hizi hasa katika nchi zilizoendelea. Hujifanya kuwa waandishi wa makala huku wakiwa na nia ya kujipatia vipato toka kwa walengwa wa makala hizo, kwa kuwatishia kutoboa siri zao. Neno bandia maana yake ni kitu au jambo lenye kuonekana kuwa ni halisi hali si kweli. Kwa maneno mengine, lina maana kwa kitu au jambo ambalo ukweli wake ni tofauti na mwonekano wa nje.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 27 mins
  • 3. Tohara ya Kweli ya Kiroho (Kutoka 12:43-49)
    Jan 13 2023

    Maneno ya Mungu katika Agano la Kale na Jipya ni muhimu na yenye thamani kwetu sisi tunaomwamini Mungu. Hatuwezi kupuuzia hata mstari mmoja wa maneno kwakuwa maneno ya Mungu ni maneno ya uzima.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 38 mins

What listeners say about Irudie Injili ya Maji na Roho

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.