• 2. Ukristo Bandia na Uzushi Ndani ya Ukristo (Isaya 28:13-14)

  • Jan 13 2023
  • Length: 1 hr and 27 mins
  • Podcast

2. Ukristo Bandia na Uzushi Ndani ya Ukristo (Isaya 28:13-14)

  • Summary

  • Wapo waandishi bandia wa makala nyakati hizi hasa katika nchi zilizoendelea. Hujifanya kuwa waandishi wa makala huku wakiwa na nia ya kujipatia vipato toka kwa walengwa wa makala hizo, kwa kuwatishia kutoboa siri zao. Neno bandia maana yake ni kitu au jambo lenye kuonekana kuwa ni halisi hali si kweli. Kwa maneno mengine, lina maana kwa kitu au jambo ambalo ukweli wake ni tofauti na mwonekano wa nje.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 2. Ukristo Bandia na Uzushi Ndani ya Ukristo (Isaya 28:13-14)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.