• SURA YA 9-1. Pigo Toka Shimo Lisilo na Mwisho (Ufunuo 9:1-21)

  • Jan 14 2023
  • Length: 14 mins
  • Podcast

SURA YA 9-1. Pigo Toka Shimo Lisilo na Mwisho (Ufunuo 9:1-21)

  • Summary

  • Kile kitendo cha Mungu kumpatia malaika ufunguo wa shimo la kuzimu lisilo na mwisho maana yake ni kwamba aliamua kuleta pigo la kutisha kama kuzimu kwa mwanadamu.
    Shimo lisilo na mwisho linafahamika kuwa ni kuzimu, maana yake ni sehemu ya kina kisicho na mwisho. Mungu atalifungua shimo hili la kuzimu ili kuleta mateso kwa Mpinga Kristo atakayekuwa akiishi duniani pamoja na wafuasi wake, na kwa wale wote wanaosimama kinyume dhidi ya wenye haki. Malaika wa tano alipewa ufunguo wa kulifungua shimo hili la kuzimu. Hili ni pigo la kutisha sana ambalo linatisha kama kuzimu inavyotisha.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about SURA YA 9-1. Pigo Toka Shimo Lisilo na Mwisho (Ufunuo 9:1-21)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.