• SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)

  • Jan 13 2023
  • Length: 26 mins
  • Podcast

SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)

  • Summary

  • “Tohara ni ya moyo.” Tunaokolewa pale tunapo amini kwa moyo. Yatupasa kuokolewa moyoni. Mungu anasema “tohara ni ya moyo katika roho si katika andiko ambayo sifa yake haitoki kwa wanadamu bali kwa Mungu” (Warumi 2:29). Yatupasa kuwa na ondoleo la dhambi. Ikiwa hatutokuwa nalo mioyoni mwetu basi ni bure tu. Mwanadamu ana “utu wa ndani” “na utu wa nje” na kila mtu inamlazimu kupokea ondoleo la dhambi ndani ya utu wake.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.