• SURA YA 2-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 2

  • Jan 13 2023
  • Length: 59 mins
  • Podcast

SURA YA 2-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 2

  • Summary

  • Katika ulimwengu huu yapo makundi mawili, Wayahudi na Wakristo wamwaminio Mungu na kati ya watu hawa wapo wale wenye kumwamini Yesu na wale wasio mwamini Mungu huchulia imani ya wale wasio mwamini Yesu kuwa ni bure isiyofaa. Hata hivyo, tatizo kubwa linalowakabili Wakristo ni hili la kumwamini Yesu kwa njia yoyote huku wangali bado hawaja samehewa dhambi zao. Mtume Paulo alizungumzia hili katika Warumi Sura ya 2 si kwa Wayahudi na Wayunani pekee bali hata kwa Wakristo wa nyakati hizi.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about SURA YA 2-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 2

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.