• SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19)

  • Jan 14 2023
  • Length: 39 mins
  • Podcast

SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19)

  • Summary

  • Neno la Ufunuo 11 ni la muhimu sana kwetu, ni muhimu kama lilivyo Neno lote la Mungu. Ili Mungu aweze kuuangamiza ulimwengu, basi kuna kazi moja ya muhimu sana ambayo anapaswa kuifanya mapema. Na hii ni kuwavuna watu wa Israeli kwa ajili ya nyakati za mwisho. Pia Mungu anayo kazi nyingine ya kuifanya kwa Waisraeli na Wamataifa, na kazi hii ni kuwafanya washiriki katika ufufuo wa kwanza na unyakuo kwa kuwaruhusu wauawe na kuwa wafia-dini.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.