• SURA YA 10-2. Je, Unafahamu Kunyakuliwa Kwa Watakatifu Kutatokea Lini?

  • Jan 14 2023
  • Length: 33 mins
  • Podcast

SURA YA 10-2. Je, Unafahamu Kunyakuliwa Kwa Watakatifu Kutatokea Lini?

  • Summary

  • Hebu sasa tuangalie juu ya ni lini unyakuo utatokea. Kuna vifungu vingi katika Biblia vinavyozungumzia kuhusu unyakuo. Agano Jipya lina vifungu vingi vinavyozungumzia mada hiyo, vivyo hivyo Agano lake Kale, kwa mfano ni wapi tunapoweza kuona hivyo, Eliya alichukuliwa mbinguni katika gari la farasi la moto, na Enoki aliyetembea na Mungu naye pia alichukuliwa na Mungu. Kama inavyoweza kuonekana, Biblia inazungumzia juu ya kunyakuliwa katika sehemu nyingi. Unyakuo maana yake ni ‘kuinuliwa juu.’ Inahusiana na tendo la Mungu la kuwainua watu wake kwenda Mbinguni kwa nguvu zake.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about SURA YA 10-2. Je, Unafahamu Kunyakuliwa Kwa Watakatifu Kutatokea Lini?

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.