• 8. Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kutoka 37:10-16)

  • Jan 15 2023
  • Length: 47 mins
  • Podcast

8. Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kutoka 37:10-16)

  • Summary

  • Meza ya mikate ya wonyesho ambayo ni moja ya vifaa vinavyopatikana ndani ya Hema Takatifu la Kukutania iliundwa kwa mti wa mshita na kisha ikafunikwa kwa dhahabu safi. Ilikuwa na vipimo vya dhiraa mbili (sentimita 90: futi 3) kwa urefu, dhiraa moja na nusu (sentimita 67.5: futi 2.2) kwa kimo, na dhiraa moja (sentimita 45: futi 1.5) kwa upana. Juu ya meza ya mikate ya wonyesho kulikuwa na mikate 12 ambayo iliwekwa pale wakati wote, na mikate hii iliweza kuliwa na makuhani tu (Mambo ya Walawi 24:5-9).

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 8. Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kutoka 37:10-16)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.