• 8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17)

  • Jan 23 2023
  • Length: 24 mins
  • Podcast

8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17)

  • Summary

  • Ni hakika kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu muhimu sana katika Biblia. Yohana Mbatizaji aliwalilia watu wa Israeli ili wafanye toba. Ni lazima tuzikumbuke kikamilifu kazi za Yesu na Yohana Mbatizaji. Yesu, aliyekuja hapa duniani aliwaokoa wanadamu, akitii mapenzi ya Mungu wakiwa pamoja na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji na Yesu walikuja hapa duniani na wakayakamilisha matendo ya haki.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.