• 7. Vifaa vya Ujenzi vya Hema Takatifu la Kukutania Vilivyoweka Msingi wa Imani (Kutoka 25:1-9)

  • Jan 14 2023
  • Length: 2 hrs
  • Podcast

7. Vifaa vya Ujenzi vya Hema Takatifu la Kukutania Vilivyoweka Msingi wa Imani (Kutoka 25:1-9)

  • Summary

  • Mungu alimwamuru Musa kwenda juu katika Mlima Sinai na akampatia mtitiriko mzima wa Sheria yake. Kwanza kabisa, alimpatia Musa Amri Kumi: “Usiwe na miungu mingine ila Mimi; usijifanyizie sanamu kisha ukaziabudu; usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako; ikumbuke siku ya Sabato na kuifanya kuwa takatifu; waheshimu baba na mama yako, usiue, usizini; usiibe; usimshuhudie uongo jirani yako; na usitamani mali ya jirani yako wala chochote alichonacho.” Kwa nyongeza, Mungu aliwapatia sheria nyingine ambazo waisraeli walitakiwa kuzitunza na kuzifuata katika maisha yao ya kila siku: Hizo zilikuwa ni amri 613 na sheria za Mungu kwa jumla.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 7. Vifaa vya Ujenzi vya Hema Takatifu la Kukutania Vilivyoweka Msingi wa Imani (Kutoka 25:1-9)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.