• 7. Sadaka ya Ondoleo la Dhambi Inayotolewa Katika Kiti cha Rehema (Kutoka 25:10-22)

  • Jan 15 2023
  • Length: 42 mins
  • Podcast

7. Sadaka ya Ondoleo la Dhambi Inayotolewa Katika Kiti cha Rehema (Kutoka 25:10-22)

  • Summary

  • Dhiraa ni urefu unaoanzia katika ncha ya kidole cha mkononi hadi kwenye kiwiko. Katika Biblia, dhiraa inakadiriwa kuwa na kipimo cha sentimita 45 kwa vipimo vya kisasa. Urefu wa kiti cha rehema ulikuwa ni dhiraa mbili na nusu, na kwa hiyo kipimo hicho kinapo badilishwa katika vipimo vya kisasa, urefu huu unakuwa sawa na sentimita 113 (futi 3.7). Na upana wake ulikuwa ni dhiraa moja na nusu ambao ni sawa na takribani sentimita 67.5 (futi 2.2). Vipimo hivi vinatupatia sisi ule ufahamu wa kawaida juu ya kipimo cha kiti cha rehema.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 7. Sadaka ya Ondoleo la Dhambi Inayotolewa Katika Kiti cha Rehema (Kutoka 25:10-22)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.