• 7. Kwa Nini Yesu Alipaswa Kuupokea Ubatizo? (Yohana 3:22-36)

  • Jan 23 2023
  • Length: 1 hr and 1 min
  • Podcast

7. Kwa Nini Yesu Alipaswa Kuupokea Ubatizo? (Yohana 3:22-36)

  • Summary

  • Watu wengi hawafahamu ni kwa nini Yesu alikuja hapa ulimwenguni na akaupokea ubatizo toka kwa Yohana Mbatizaji. Lakini ni lazima tufahamu vizuri kuhusu dhumuni la ubatizo ambao Yesu aliupokea, kuhusu Yohana Mbatizaji ambaye alimbatiza Yesu, na kuhusu uhusiano kati ya watu hao wawili. Kwa hiyo, kwanza kwa kutumia aya za Maandiko ninataka kuangalia habari za msingi na dhumuni la ubatizo wa Yesu uliotolewa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Na ili kufanya hivyo ni lazima tugeukie katika Injili ya Mathayo na kisha kumchunguza Yohana Mbatizaji aliyembatiza Yesu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 7. Kwa Nini Yesu Alipaswa Kuupokea Ubatizo? (Yohana 3:22-36)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.