• 6. Mafumbo ya Kiroho Yaliyofichwa Katika Sanduku la Ushuhuda (Kutoka 25:10-22)

  • Jan 15 2023
  • Length: 46 mins
  • Podcast

6. Mafumbo ya Kiroho Yaliyofichwa Katika Sanduku la Ushuhuda (Kutoka 25:10-22)

  • Summary

  • Mada ya leo ni Sanduku la Ushuhuda. Sanduku la Ushuhuda lilikuwa na vipimo vya sentimita 113 (futi 3.7) kwa urefu, sentimita 68 (futi 2.2) kwa upana, na sentimita 68 (futi 2.2) kwa kimo chake, Sanduku hili lilitengenezwa kwa mti wa mshita na lilifunikwa kwa dhahabu safi. Ndani ya Sanduku kulikuwa na mbao mbili za mawe zilizokuwa zimeandikwa Amri Kumi na bilauri ya dhahabu iliyokuwa na manna, na baadaye iliwekwa ile fimbo ya Haruni iliyochipuka. Je, vitu hivi vitatu vilivyowekwa ndani ya Sanduku hili la Ushuhuda vinatueleza nini? Kwa kupitia vifaa hivyo, nitapenda kutoa ufafanuzi wa kina na wa upana kuhusiana na huduma tatu za Yesu Kristo. Hebu sasa na tuchunguze juu ya ukweli wa kiroho uliodhihirishwa katika vifaa hivi vitatu vilivyokuwa vimewekwa ndani ya Sanduku la Ushuhuda.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 6. Mafumbo ya Kiroho Yaliyofichwa Katika Sanduku la Ushuhuda (Kutoka 25:10-22)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.