• 6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)

  • Jan 23 2023
  • Length: 52 mins
  • Podcast

6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)

  • Summary

  • Kifungu cha maandiko cha leo kinatoka katika injili ya Yohana 1:30-36. Watumishi wa Mungu wanaoamini katika injili ya maji na Roho wanafahamu wote kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu na Mwokozi wa wenye dhambi. Vivyo hivyo, wale ambao wanamfahamu na kumwamini Mungu kwa kweli wanaweza kutambua kuwa Yohana Mbatizaji aliitimiza huduma muhimu na ya thamani akiwa kama mtumishi wa Mungu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.