• 6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12)

  • Jan 13 2023
  • Length: 29 mins
  • Podcast

6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12)

  • Summary

  • Katika kifungu kilichopita hapo juu tumeona wanawali watano wenye busara na wapumbavu, wanawali wapumbavu waliwaomba wale wenyebusara kuwagawia kiasi cha mafuta ya taa lakini wenye busara wakawajibu wale wapumbavu “hayatatutosha sisi na ninyi shikeni njia muende kwa wauzao mkajinunulie”. Hivyo wakati wale walio wapumbavu wakienda nje kununua mafuta hayo, wale wenye busara walikuwa nayo katika taa zao na kuingia katika sherehe za harusi. Sasa basi ni kwa namna gani tunaweza kuyatayarisha mafuta kwa ajili ya Bwana? Kitu pekee tunachoweza kufanya ni kuusubiri msamaha wake wa dhambi katika mioyo yetu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.