• 5. Vitako Viwili vya Fedha na Ndimi Mbili kwa Kila Ubao wa Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-37)

  • Jan 15 2023
  • Length: 1 hr and 13 mins
  • Podcast

5. Vitako Viwili vya Fedha na Ndimi Mbili kwa Kila Ubao wa Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-37)

  • Summary

  • Hema Takatifu la Kukutania liliundwa kwa mbao 48; kulikuwa na mbao 20 kwa kila upande wa kusini na kaskazini, mbao sita ziliwekwa upande wa magharibi, na mbao mbili ziliwekwa katika kona mbili za nyuma. Kila ubao ulikuwa na kipimo cha mita 4.5 (futi 15) kwa urefu na takribani sentimita 67.5 (futi 2.2) kwa upana. Ili kila ubao uweze kusimama vizuri ukiwa umenyooka kulikuwa na vitako viwili vya fedha na ndimi mbili ambavyo vilifungamana pamoja vizuri. Hii inatuonyesha tena kuwa wokovu wa Mungu unapatikana kwa neema yake tu kwa imani katika Kristo.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 5. Vitako Viwili vya Fedha na Ndimi Mbili kwa Kila Ubao wa Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-37)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.