• 5. Tuufurahie Utukufu wa Mungu Kwa Shukrani (Yohan 1:1-14)

  • Jan 23 2023
  • Length: 56 mins
  • Podcast

5. Tuufurahie Utukufu wa Mungu Kwa Shukrani (Yohan 1:1-14)

  • Summary

  • Injili ya Yohana, Vitabu vitatu vya 1, 2, na 3 Yohana, na Kitabu cha Ufunuo ni Maandiko yaliyoandikwa na Mtume Yohana. Kwa kupitia Maandiko haya, basi tunaweza kuona jinsi imani ya Mtume Yohana ilivyokuwa, na pia jinsi imani ya wanafunzi wa Yesu ilivyokuwa. Mtume Yohana aliamini kuwa Yesu alikuwa ni Mungu halisi aliyeumba ulimwengu wote na sisi wanadamu, na kwamba Mungu alikuwa ni Mwokozi wake na Mwokozi wa wanadamu wote. Sisi sote tunapaswa kuwa na aina hii ya imani.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 5. Tuufurahie Utukufu wa Mungu Kwa Shukrani (Yohan 1:1-14)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.