• 5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)

  • Jan 13 2023
  • Length: 41 mins
  • Podcast

5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)

  • Summary

  • Ikiwa unahitaji kuwa na usharika na Roho Mtakatifu kwanza kabisa lazima uelewe kwamba dhambi iliyo ndogo kabisa mbele ya Mungu inatosha kutokufanya usharika na Mungu. Unaweza kudhani “Sasa itawezekanaje mtu asiwe na dhambi hata kidogo mbele ya Mungu?” Lakini ikiwa kweli unatamani usharika na Bwana basi lazima pasiwepo na kiza moyoni mwako. Hivyo ili uwe na usharika na Bwana, unahitajika kujua kwamba lazima uamini Injili ya ukombozi na kujitakasa dhambi zako zote.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.