• 4. Sababu Iliyomfanya Mungu Amuite Musa Kwenda Katika Mlima Sinai (Kutoka 19:1-6)

  • Jan 14 2023
  • Length: 33 mins
  • Podcast

4. Sababu Iliyomfanya Mungu Amuite Musa Kwenda Katika Mlima Sinai (Kutoka 19:1-6)

  • Summary

  • Kifungu kikuu cha maandiko kinatoka katika Kutoka 19:1-6. Japokuwa kifungu hiki cha maandiko si kirefu, nina mambo mengi ya kuzungumza kuhusu kifungu hiki. Kutoka katika kifungu hiki, nitapenda pia kuzungumzia juu ya ukweli uliofunuliwa katika sura ya 19 na ile ya 25 katika kitabu cha Kutoka. Ilikuwa imeshapita miezi mitatu tangu watu wa Israeli walipotoroka kutoka Misri na kufika katika jangwa la Sinai. Mungu aliwafanya waweke kambi zao mbele ya Mlima Sinai, na kisha akamwita Musa kwenda juu mlimani.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 4. Sababu Iliyomfanya Mungu Amuite Musa Kwenda Katika Mlima Sinai (Kutoka 19:1-6)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.