• 4. Pazia Ambalo Lilipasuliwa (Mathayo 27:50-53)

  • Jan 15 2023
  • Length: 1 hr
  • Podcast

4. Pazia Ambalo Lilipasuliwa (Mathayo 27:50-53)

  • Summary

  • Patakatifu pa Patakatifu palikuwa ni mahali ambapo Mungu aliishi. Na ni Kuhani Mkuu tu ndiye aliyeruhusiwa kuingia hapo mara moja kwa mwaka, katika ile Siku ya Upatanisho hali akiwa amebeba damu ya mbuzi wa sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya ondoleo la dhambi la waisraeli. Kuhani Mkuu alifanya hivyo kwa sababu Patakatifu pa Patakatifu katika Hema Takatifu la Kukutania palikuwa ni mahali patakatifu sana ambao hakuweza kuingia mpaka awe na damu ya mwanasadaka, ambaye kwa huyo mikono iliwekwa juu ya kichwa chake ili kuyatoweshea mbali maovu ya wenye dhambi. Kwa msemo tofauti, hata Kuhani Mkuu hakuweza kuikwepa adhabu ya Mungu hadi baada ya kuwa amepokea ondoleo la dhambi zake kwa kutoa sadaka ya kuteketezwa kabla ya kuingia katika uwepo wa Mungu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 4. Pazia Ambalo Lilipasuliwa (Mathayo 27:50-53)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.