• 4. Itazame Huduma ya Yohana Mbatizaji! (Luka 1:17-23)

  • Jan 24 2023
  • Length: 58 mins
  • Podcast

4. Itazame Huduma ya Yohana Mbatizaji! (Luka 1:17-23)

  • Summary

  • Injili ya Luka katika sura ya 1 aya ile ya 17 inaeleza kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu aliyekuja katika roho na nguvu ya Eliya na akaifanya kazi ya kuwarudisha watu kwa Mungu mbele ya uwepo wa Bwana. Yohana Mbatizaji alikuwa ni tofauti na watu wengine tangu alipozaliwa. Sisi watu wa kawaida tunaoana na kisha kuzaa watoto kwa kudhamiria au kutodhamiria kadri muda unavyozidi kwenda. Lakini Yohana Mbatizaji ni mtu ambaye kuzaliwa kwake kulikwisha tabiriwa na kuandaliwa katika Agano la Kale. Inasemwa kuwa Yohana Mbatizaji atakuja kwetu katika roho na nguvu ya Eliya.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 4. Itazame Huduma ya Yohana Mbatizaji! (Luka 1:17-23)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.