• 3. Wale Wanaoweza Kupaingia Patakatifu pa Patakatifu (Kutoka 26:31-33)

  • Jan 15 2023
  • Length: 33 mins
  • Podcast

3. Wale Wanaoweza Kupaingia Patakatifu pa Patakatifu (Kutoka 26:31-33)

  • Summary

  • Hema Takatifu la Kukutania lilikuwa ni jengo dogo lililokunjwa na lililokuwa limefunikwa na aina nne za mapaa. Hema Takatifu la Kukutania lilikuwa limeundwa kutokana na vifaa mbalimbali—kwa mfano, kuta zake ziliundwa kwa mbao 48 za mti wa mshita. Kimo cha kila ubao kilikuwa ni mita 4.5 (dhiraa 10: futi 15), na upana ulikuwa sentimita 67.5 (dhiraa 1.5: futi 2.2). Mbao zote zilifunukwa kwa dhahabu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 3. Wale Wanaoweza Kupaingia Patakatifu pa Patakatifu (Kutoka 26:31-33)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.