• 2. Yohana Mbatizaji Hakushindwa (Mathayo 11:1-14)

  • Jan 24 2023
  • Length: 1 hr and 5 mins
  • Podcast

2. Yohana Mbatizaji Hakushindwa (Mathayo 11:1-14)

  • Summary

  • Ni huduma gani hasa ambayo Yohana Mbatizaji aliitimiza kabla ya Yesu? Wakristo wengi leo hii hawamfahamu vizuri Yohana Mbatizaji, hivyo wanatakiwa kupata mtazamo mpya kuhusu Yohana Mbatizaji ili waweze kumfahamu na kuikubali huduma yake kikamilifu. Sisi sote tunapaswa kuwa na ufahamu sahihi na kuukubali uhusiano kati ya huduma ya Yesu na ile ya Yohana Mbatizaji. Kwa kuufahamu uhusiano huu kikamilifu, basi unapaswa kwanza kulipokea ondoleo la dhambi kwa imani.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 2. Yohana Mbatizaji Hakushindwa (Mathayo 11:1-14)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.