• 2. Kisitiri na Nguzo za Mahali Patakatifu (Kutoka 26:31-37)

  • Jan 15 2023
  • Length: 1 hr and 18 mins
  • Podcast

2. Kisitiri na Nguzo za Mahali Patakatifu (Kutoka 26:31-37)

  • Summary

  • Nitapenda kutafakari juu ya maana ya kiroho iliyomo katika nguzo za Mahali Patakatifu na rangi za kile kisitiri chake. Hema Takatifu ambalo tunalizama hapa lilikuwa na vipimo vya mita 13.5 (futi 45) kwa urefu na mita 4.5 (futi 15) kwa upana, na lilikuwa limegawanywa katika vyumba viwili vilivyoitwa Mahali Patakatifu na Patakatifu pa Patakatifu. Ndani ya Mahali Patakatifu kulikuwa na kinara cha taa, meza ya mikate ya wonyesho, na madhabahu ya uvumba, na ndani ya Patakatifu pa Patakatifu kulikuwa na Sanduku la Ushuhuda na kiti cha rehema kilichokuwa juu ya sanduku lile.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 2. Kisitiri na Nguzo za Mahali Patakatifu (Kutoka 26:31-37)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.