• 1. Wokovu wa Wenye Dhambi Uliofunuliwa katika Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 27:9-21)

  • Jan 14 2023
  • Length: 1 hr and 35 mins
  • Podcast

1. Wokovu wa Wenye Dhambi Uliofunuliwa katika Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 27:9-21)

  • Summary

  • Uzio wa ua wa mstatiri wa Hema Takatifu la Kukutania ulikuwa na kipimo cha dhiraa 100 kwa urefu. Katika Biblia, dhiraa ilihesabiwa kutokana na urefu unaoanzia katika kiwiko cha mkono hadi kwenye ncha ya kidole kama kiasi cha sentimita 45 au inchi 18 katika vipimo vya kisasa. Kwa hiyo, kule kusema kuwa Hema Takatifu la Kukutania lilikuwa na dhiraa 100 kwa urefu kunamaanisha kuwa lilikuwa na mita 45 au futi 150; na kwamba upana wake ulikuwa dhiraa 50 maana yake ni kuwa lilikuwa na wastani wa takribani mita 22.5 au futi 75 kwa upana. Hivyo, hivi ndivyo vipimo ya Nyumba ambavyo Mungu aliishi miongoni mwa watu wa Israeli katika kipindi cha Agano la Kale.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 1. Wokovu wa Wenye Dhambi Uliofunuliwa katika Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 27:9-21)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.