• 1. Sisi Hatumo Miongoni Mwao Wanaosita na Kupotea kwa Sababu ya Dhambi Zetu (Yohana 13:1-11)

  • Jan 15 2023
  • Length: 1 hr and 11 mins
  • Podcast

1. Sisi Hatumo Miongoni Mwao Wanaosita na Kupotea kwa Sababu ya Dhambi Zetu (Yohana 13:1-11)

  • Summary

  • Neno lote la Biblia ni fumbo kwa walimu wa uongo ambao hawajazaliwa tena upya. Kwa hiyo wanajaribu kulifafanua Neno la Mungu kwa namna yao wenyewe kwa mawazo yaliyoundwa na mwanadamu. Hata hivyo, wao wenyewe hawashawishiki kuamini kile wanachokifundisha. Kama matokeo ya hali hiyo, hata miongoni mwa wale wanaoamini katika Yesu, kuna wachache sana wenye uhakika wa wokovu wao.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 1. Sisi Hatumo Miongoni Mwao Wanaosita na Kupotea kwa Sababu ya Dhambi Zetu (Yohana 13:1-11)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.