• Uraghbishi ulivyoongeza wauguzi kijiji cha Bweni, Pangani

  • Nov 21 2023
  • Length: 6 mins
  • Podcast

Uraghbishi ulivyoongeza wauguzi kijiji cha Bweni, Pangani

  • Summary

  • Kwa muda mrefu, wanakijiji wa Bweni, wilaya ya Pangani Mkoa wa Tanga, wamkuwa na changamoto mbalimbali zinazohusiana na huduma ya afya. Si ajabu kwamba Uraghbishi ulipoanza kijijini hapo changamoto hii ikawa moja ya kipaumbele chao cha juu kabisa. Fuatilia mazungumzo haya kujua namna gani changamoto hii ilitatuliwa.

    Show More Show Less

What listeners say about Uraghbishi ulivyoongeza wauguzi kijiji cha Bweni, Pangani

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.