• Tukio 21 – Papa katika Hamburg

  • Aug 25 2009
  • Length: 13 mins
  • Podcast

Tukio 21 – Papa katika Hamburg

  • Summary

  • Katika afisi ya Radio D hali ya joto imezidi mno. Paula na Philipp wanafurahi pale wanapopewa kazi ya kwenda pwani ambako papa ameonekana bandarini. Paula, Philipp na Ayhan wanatatizika kwa kiasi kikubwa. Joto limezidi afisini wala hawana kiyoyozi. Paula anatamani kwenda baharini, na Compu anamsaidia kufanya hivyo. Waandishi habari hao wanakwenda Hamburg kwasababu inasemekana papa ameonekana bandarini. Paula na Philipp wanashindwa kupita kutokana na umati wa watu ambao tayari wamefurika kwa nia ya kumwona samaki huyo mkubwa. Mambo pia si rahisi kwa mwalimu ambaye anashughulikia viambishi mwisho vya uhusika wa moja kwa moja wa vidhihirisho vya jinsia ya kiume. Neno la kukanusha "kein" linafuata mtindo sawa wa viambishi vya mwisho.
    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Tukio 21 – Papa katika Hamburg

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.