• SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25)

  • Jan 13 2023
  • Length: 39 mins
  • Podcast

SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25)

  • Summary

  • Biblia inatueleza sisi pia kuwa, “kwa akili zangu naitumikia sheria ya Mungu, bali kwa mwili wangu sheria ya dhambi.” Na hizo ndio sheria zinazotutawala. Mioyo yetu imeumbwa kumpenda Mungu na kuupenda ukweli, lakini ni kawaida kwa mwili kuitumikia sheria ya dhambi. Neno la Mungu linatueleza sisi kuwa moyo unaitumikia injili na haki ya Mungu ilhali mwili unaitumikia dhambi tu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.