• SURA YA 7-1. Utangulizi Kwa Sura ya 7

  • Jan 13 2023
  • Length: 19 mins
  • Podcast

SURA YA 7-1. Utangulizi Kwa Sura ya 7

  • Summary

  • Kwa kuutambua ukweli kuwa kabla ya ukombozi wake mwili wake ulikuwa umehukumiwa kifo na Sheria ya Mungu, basi ndio maana Mtume Paulo alilifanya ungamo lake kwa kuamini kuwa alikuwa ameifia dhambi katika Yesu Kristo. Kabla hatujakutana na haki ya Mungu—yaani kabla hatujazaliwa upya—sisi ambao tunamwamini Kristo tulizoea kuishi chini ya himaya na laana ya Sheria. Hivyo, ikiwa tusingekutana na Yesu ambaye ametuletea haki ya Mungu basi Sheria ingeendelea kututawala.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about SURA YA 7-1. Utangulizi Kwa Sura ya 7

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.