• Mending Thoughts Africa

  • By: Ayya Inc.
  • Podcast

Mending Thoughts Africa

By: Ayya Inc.
  • Summary

  • Mending Thoughts Africa is dedicated to bridging the gap in mental health awareness within Swahili-speaking communities. Using social media and the internet, we aim to provide comprehensive resources and guidance. Content and support are delivered in Swahili, recognizing the language's importance. Our team of professionals offers evidence-based content and fosters a sense of community through interactive discussions. We invite you and your loved ones to join "Mending Thoughts Africa" in a mission to create a brighter future for mental health in Swahili-speaking communities.

    Mending Thoughts Africa is brought to you by Ayya, Inc.

    ©️2023 Ayya, Inc.
    Show More Show Less
Episodes
  • MTA S02E06 - KUSHUGHULIKIA TABIA ZA NDANI NA ZA NJE ZA MTOTO WAKO PART 2
    Dec 12 2023

    KUSHUGHULIKIA TABIA ZA NDANI NA ZA NJE ZA MTOTO WAKO.

    Tabia za mtu zunaweza kuwa fiche au za wazi, na hii inatokana na makuzi na malezi anayopitia mtoto. Mjadala wetu utaangazia eneo hili kwa sababu tabia hizo zinaweza kuwa ni dalili za changamoto za afya ya akili.

    DEALING WITH YOUR CHILD'S INTERNALIZING AND EXTERNALIZING BEHAVIORS.

    A person's behavior can be hidden or open, and this is due to the development and upbringing that the child goes through. Our discussion will focus on this area because those behaviors have symptoms of mental challenges.

    Show More Show Less
    29 mins
  • MTA S02E06 - KUSHUGHULIKIA TABIA ZA NDANI NA ZA NJE ZA MTOTO WAKO PART 1
    Dec 12 2023

    KUSHUGHULIKIA TABIA ZA NDANI NA ZA NJE ZA MTOTO WAKO.

    Tabia za mtu zunaweza kuwa fiche au za wazi, na hii inatokana na makuzi na malezi anayopitia mtoto. Mjadala wetu utaangazia eneo hili kwa sababu tabia hizo zinaweza kuwa ni dalili za changamoto za afya ya akili.

    DEALING WITH YOUR CHILD'S INTERNALIZING AND EXTERNALIZING BEHAVIORS.

    A person's behavior can be hidden or open, and this is due to the development and upbringing that the child goes through. Our discussion will focus on this area because those behaviors have symptoms of mental challenges.

    Show More Show Less
    26 mins
  • MTA S02E05 - KUASILI (ADOPTION) MTOTO NA AFYA YA AKILI PART 2
    Dec 9 2023

    KUASILI MTOTO NA AFYA YA AKILI

    Kuna nyakati ambazo mtoto anaweza kupewa wazazi wengine kisheria, mchakato huu unaitwa kuasili. Hata hivyo, kuasiliwa kunaweza kumpelekea mtoto kupata changamoto za afya ya akili hasa zile za kihaiba na kitabia. Majadiliano yetu yataangazia mchakato wa kuasili, kuasiliwa na namna unavyoweza kumuathiri mtoto na njia bora za kuchukuwa ili kuepusha athari hizo.

    ADOPTION AND MENTAL HEALTH

    There are times when a child can be legally given to other parents, this process is called adoption. However, adoption can lead the child to experience mental health challenges, especially those of mental and behavioral problems. Our discussion will focus on the process of adoption, adoption and how it can affect the child and the best ways to take to avoid those effects.

    Show More Show Less
    33 mins

What listeners say about Mending Thoughts Africa

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.