• Mahubiri kupitia Wagalatia - KUTOKA TOHARA YA MWILI HADI MAFUNDISHO YA TOBA (II)

  • By: The New Life Mission
  • Podcast

Mahubiri kupitia Wagalatia - KUTOKA TOHARA YA MWILI HADI MAFUNDISHO YA TOBA (II)

By: The New Life Mission
  • Summary

  • Mafundisho ya Toba Yanatosha Kukufanya Upate Ugonjwa wa Kiroho. Ulimwenguni kote watu wanaogopa virusi kama vile vya SARS kwa kuwa wanaweza kufa kutokana na kuambukizwa na virusi hivyo visivyoonekana. Vivyo hivyo, Wakristo wengi siku hizi ulimwenguni kote wanakufa kimwili na kiroho kutokana na kuathiriwa na mafundisho ya toba. Ni nani ambaye alifahamu jinsi mafundisho ya toba yalivyo potofu kiasi hicho? Unafahamu ni nani aliyewafanya Wakristo kuangukia katika mkanganyo wa kiroho? Ni Wakristo wenye dhambi wenyewe ambao wanaendelea kutoa sala za toba kila siku ili waweze kuzisafisha dhambi zao binafsi huku wakidai kuwa wanamwamini Yesu Kristo kuwa ni Mwokozi wao. Hivyo unapaswa kupokea ondoleo la dhambi zako kwa kuliamini Neno la injili ya maji na Roho ambalo kwa asili ndilo ambalo Mungu alitupatia. Haupaswi kuipoteza nafasi hii yenye baraka ya kuweza kuzaliwa tena upya. Sisi sote tunapaswa kukombolewa toka katika mkanganyo wa kiroho kwa kuuamini Ukweli wa injili ya maji na Roho. Tunapaswa kuiangalia nuru ya Ukweli ambayo ilikuja kupitia injili ya maji na Roho, na nuru hiyo ilikuja baada ya kuyatoroka mashimo ya mkanganyo wa kiroho. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35
    Hakimiliki © 2004, Revised Edition 2005 na Hephzibah Publishing House
    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2
Episodes
  • SURA YA 4-1. Sisi Ndio Hatutaweza kuonja Mauti kamwe, Tutafurahia Maisha ya Milele (Wagalatia 4:1-11)
    Jan 15 2023

    Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 4:1,Sasa nasema kwamba mrithi,maadamu ni motto,hana tofauti kabisa na mtumwa, ingawa ni Bwana wa wote.Imeandikwa kuwa ikiwa sisi ni wana wa Mungu,basi sisi ni warithi wa urithi wake,Sisi ni warithi wa Mungu,inamaanisha kuwa Mungu ameturuhusu kupata uzima wa kweli kwa kutupatia ondoleo la dhambi zetu mileleTunapaswa sote kufahamu umuhimu mkubwa wa kile Mtume Paulo anasema hapa na kuamini kwa mioyo yetu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    28 mins
  • SURA YA 4-2. Je! Wewe na Mimi Tuna Imani Sawa na Ile ya Abraham? (Wagalatia 4:12-31)
    Jan 15 2023

    Masharti kama vile kujitengenezea Wakristo au kanisa lenye watu watu wengi,linaloonekana kuwa maarufu sana,haswa miongoni mwa jamii za Wakaristo wa Dunia ya Tatu.Wanajaribu kubadilisha ukristo wa Magharibi kuwa aina moja ambayo inaambatana zaidi na tamaduni zao.Wanasisitiza sana kifungu cha pili cha uhasama wa jadi,Umoja katika mambo muhimu,uhuru katika vitu visivyo vya msingi na hisani katika mambo yote.Lakini jambo la bahati mbaya ni kwamba hawajua mambo muhimu ni yapi au ni nini.Walakini,injili ya maji na Roho iliyoenezwa na sisi haiwezi kudhihirishwa katika hali tofauti nay ale yaliyomo katika injili hii.Na hivyo haiwezi kubadilika kwa hali yoyote.Ninamshukuru Mungu kwa kweli maana ninaweza kuwahubiria injili ya maji na Roho ambayo inaweza kukuokoa kutoka katika dhambi zako zote chini ya hali yeyote.Kwa hviyo,niko tayari kufanya kazi hii ya haki mpaka siku ile Bwana wetu atakaporudi.Ninaamini kwamba roho nyingi zitaachiliwa kutoka katika dhambi zao zote kwa kuamini injili ya maji na Roho.Ninjua pia kitabu hiki kitakuwa na faida kwako kabisa.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    1 hr and 7 mins
  • SURA YA 4-3. Usigeukie Tena Mambo Dhaifu na yenye Unyonge Ya Ulimwengu (Wagalatia 4:1-11)
    Jan 15 2023

    Paulo aliandika barua hii takriban miaka 2000 iliyopita. Mambo haya hurejea kanuni za msingi za Sheria, kuishi maisha ya kisheria ya imani kulingana na Sheria. Wayahudi walizoea kujifunza kila kitu kwa yeshiva. Mtume Paulo mwenyewe pia alifundishwa chini ya mwalimu maarufu aliyeitwa Gamalieli na kufundishwa kumcha Mungu kupitia Sheria. Ndio maana mtume Paulo aliita mambo kuwa bado yamefungwa na Sheria, kujifunza Sheria, na kufuata Sheria hata baada ya kuja kwa Yesu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
    46 mins

What listeners say about Mahubiri kupitia Wagalatia - KUTOKA TOHARA YA MWILI HADI MAFUNDISHO YA TOBA (II)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.