• S1E1 - CONTROL ROOM DAY 1:PRAYERS AND PROPHETIC(THE WORD OF THE MONTH -FEB)
    Feb 1 2024
    Mwezi wa pili ni mwezi wa kutoka(The month of going out) ! Things must change in your life! The prophetic word is a weapon , it becomes ineffective kama hutotumia the word kwenye maisha yako, tumia neno la kinabii kupataa matokeo! Be blessed and would love to hear you testimonies text us your testimonies via 0712074435 (whatsapp) !SHALOM
    Show More Show Less
    1 hr and 24 mins
  • S1E3 - THE BLESSINGS OF THE EARTH
    Oct 13 2023

    NCHI IKAMSAIDIA mwanamke; nchi ikafunua kinywa chake, ikaumeza mto ule alioutoa yule joka katika kinywa chake.” ‭‭Ufu‬ ‭12‬:‭16‬ ‭SUV‬‬ As long as tunaishi duniani, dunia inauwezo wa kutusaidia in every aspect!Biblically dunia ilimsaidia mtu na inaskia, Ndani ya episode hii utajifunza jinsi ya kuicommand dunia ikusaidie!

    This podcast is powered by Pinecast.

    Show More Show Less
    1 hr and 5 mins
  • S1E2 - Njia ya kutoka kwenye uteja(How to get out of addiction)
    Jul 4 2023
    Kumekua na wimbi kubwa la uteja hasa kwa vijana(addiction),imewafanya vijana wengi kupoteza uhuru wao ama nguvu ya kutawala!Katika hii podcast utakutana na nguvu itakayokutoa kwenye uteja uliokufunga kwa muda mrefu na kukufanya uwe huru na mwenye mamlaka kama muumbaji wako atakvyo!Muda wako ni sasa!
    Show More Show Less
    1 hr and 23 mins
  • S1E1 - MAHUSIANO EPISODE 1
    Jun 20 2023
    Je, umewahi kujikuta ukitafuta majibu, kutafuta mwongozo, au kujiuliza ikiwa kuna jambo jipya zaidi? Itakuwaje nikikuambia kwamba majibu unayotafuta yanakungoja mahali ambapo hupadhanii kabisa - kwenye Biblia? Karibu kwenye Qaval Hearing Gods Voice, podicast ambayo itakupeleka kwenye safari ya mageuzi ili kuelewa na kupata uzoefu wa mafundisho ya Mungu kuliko hapo awali.
    Show More Show Less
    1 min