• 6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12)

  • Jan 12 2023
  • Length: 1 hr and 4 mins
  • Podcast

6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12)

  • Summary

  • Je, Yesu alikuja kwa maji? Ndiyo ni sahihi. Alikuja kupitia ubatizo Wake. Maji ni ubatizo wa Yesu uliofanywa na Yohana Mbatizaji kwenye Mto Yordani. Ulikuwa ni ubatizo wa ukombozi ambao kwa huo alizichukua dhambi zote za ulimwengu.
    Je, Yesu alikuja kwa damu? Ndiyo ni sahihi. Alikuja katika mwili wa mwanadamu na kubatizwa ili kuchukua dhambi zote za ulimwengu, kisha akalipa mshahara wa dhambi kwa kuvuja damu Msalabani. Yesu alikuja kwa damu.
    Je, Yesu alikuja kwa Roho? Ndiyo ni sahihi. Yesu alikuwa God, lakini alikuja kama Roho katika mwili ili kuwa Mwokozi wa wenye dhambi.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.