• 4. Kuishi Kulingana na Roho (Yohana 6:26-40)

  • Jan 15 2023
  • Length: 38 mins
  • Podcast

4. Kuishi Kulingana na Roho (Yohana 6:26-40)

  • Summary

  • Kabla ya kuanza, hebu tuangalie vifungu vichache kutoka mahali pengine kwenye Bibilia. Warumi 8: 5 inasema, “Kwa maana wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili;bali wale waifuatao roho huyafikiri mambo ya roho.”tena, Warumi 8: 12-14 inasema,“Basi,kama ni hivyo,ndugu,tu wadeni,si wa mwili tuishi kwa kufuata mambo ya mwili,kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili,mwataka kufa;bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho,mtaishi.Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu.”Bwana wetu ametuokoa kutoka kwa dhambi zetu zote.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 4. Kuishi Kulingana na Roho (Yohana 6:26-40)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.