• 2. Wanadamu Huzaliwa Wakiwa ni Wenye Dhambi (Marko 7:20-23)

  • Jan 13 2023
  • Length: 21 mins
  • Podcast

2. Wanadamu Huzaliwa Wakiwa ni Wenye Dhambi (Marko 7:20-23)

  • Summary

  • Kabla sijaendelea, ningependa kukuuliza swali. Wewe unaonaje kuhusu wewe mwenyewe? Je, unafikiri wewe ni mzuri sana au mbaya sana? unafikiri nini?
    Watu wote wanaishi chini ya udanganyifu wao wenyewe. Labda wewe sio mbaya kama unavyofikiria, na sio mzuri kama vile unavyofikiria.
    Kwa hiyo unadhani nani ataongoza maisha bora ya kidini? Je, itakuwa wale wanaojiona kuwa wazuri au wale wanaojiona kuwa wabaya?
    Ni ya pili. Kwa hiyo, ni nani ana uwezekano mkubwa wa kuokolewa: wale ambao wamefanya dhambi nyingi au wale ambao wamefanya dhambi chache? Wale walio na dhambi nyingi wana uwezekano mkubwa wa kukombolewa kwa sababu wanajijua wenyewe kuwa wenye dhambi. Wanaweza kukubali vyema zaidi ukombozi uliotayarishwa kwa ajili yao na Yesu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 2. Wanadamu Huzaliwa Wakiwa ni Wenye Dhambi (Marko 7:20-23)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.